Biashara kwa dar es salaam

Kurejea kwa usafiri wa treni kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro kumeleta ukombozi mpya wa kiuchumi kwa wananchi wa maeneo hayo. Wananchi sasa wanaweza kutumia fursa ya usafiri huo kufanya biashara mbalimbali, hivyo kujikwamua kiuchumi na kuondokana na hali ya umaskini. Usafiri huo umerejea baada ya kupita miaka 25 na wananchi wameupokea vema hasa wa maeneo ambayo inapita wakieleza jinsi watakavyoongeza kipato kwa kuuza bidhaa na mazao mbalimbali zaidi ya ilivyo sasa.

Wananchi wengi wanasema wamejipanga zaidi kuanza biashara na kukabiliana na hali ngumu ya maisha. Wami, Korogwe, Same na Kahe ni maeneo yaliyochangamka na wananchi walieleza matarajio yao sambamba na watakavyoweza kupanua wigo wa biashara na kilimo kwa kuongezeka kwa mteja mwingine ambaye ni abiria wa treni hiyo.

Biashara tano za kujifunza na kujaribu Mwaka 2020 ndani ya Jiji la Dar es salaam.

Kwa sasa wengi wa wateja wao ni abiria wa mabasi, madereva wa malori ambayo wakati wa mvua hukwama katika baadhi ya maeneo na kuharibu biashara zao. Ila kimsingi tunarejea na binafsi nafikiria kuanza biashara hapa ambayo itatoka usiku. Sikuwa mkazi wa Same, ila kwa sasa nipo hapa nalima na kujishughulisha na biashara. Joanitha Jacob, anasema naye ni mfanyabiashara aliyekuwa akisafiri kwa basi ila baada ya kuona treni imeanza safari aliamua kuacha ili apate na muda wa kulala.

Nauli yake kutoka Dar es Salaam hadi Korogwe mkoani Tanga kwa daraja la tatu itakuwa Sh10, daraja la pili kukaa Sh 15, na daraja la pili kulala ni Sh25, Pia kutoka Dar es Salaam hadi Moshi, nauli kwa daraja la tatu ni Sh16, daraja la pili kukaa Sh23, na daraja la pili kulala Sh39, Huenda kutokuwepo kwa treni hiyo tangu mwaka ndio sababu ya maeneo mengi inakopita kutokuwa na biashara kubwa zinazofanywa na wananchi.

Ofisa Habari ya Shirika la Reli Tanzania TRCJamila Mbarouk anasema kupitia treni hiyo wananchi wataweza kuanzisha biashara ndogondogo katika vituo ambavyo inapita na kujikwamua kiuchumi. Jamila anasema TRC imeandaa sehemu maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara na kwa yeyote atakayehitaji kufanya biashara pembezoni au karibu na reli, anapaswa kufika kwa stesheni master kwa ajili ya utaratibu.

Anasema kabla ya treni kuanza wananchi walikimbilia miji mikuu kufanya biashara kwa kuwa fursa hazikuwepo katika maeneo yao. Anasema pia wakulima watapata fursa ya kusafirisha mazao yao kutoka eneo moja kwenda jingine na kufanya biashara. Ofisa habari huyo anasema usafiri wa treni pia utarahisisha gharama za usafiri kwa wananchi na kuongeza thamani ya maeneo inakopita na kutoa uelewa kwa wananchi.

Anasema zipo stesheni 12 ambazo wamezipanga kwa ajili ya treni hiyo kusimama, hivyo kutakuwa na fursa nzuri na kubwa za biashara na kuchangia ukuaji wa uchumi kwa eneo husika.

Haitasimama kila stesheni kwa sababu ya muda, tumepanga isimame katika stesheni 12, na maeneo hayo kutakuwa na fursa. Jamila anasema imetokana na maoni ya wananchi baada ya kufanya utafiti, ambapo wengi walipendekeza safari zianze jioni kwa kuwa safari za mabasi huanza asubuhi na inapofika mchana, hakuna gari ya kutoka Kilimanjaro kwenda Dar es salaam, jambo ambalo limekuwa likisababisha usumbufu kwa wananchi wengi.Dar es Salaam kuna changamoto nyingi endapo hauna shughuli maalumu ya kufanya basi lazima utauchukia mji huu na kuona sio sehemu sawa kwa wewe kuwepo, ila ukifanikiwa kujua cha kufanya ukiwa hapa basi lazima utaona Mkoa huu ni mrahisi sana.

Jiji la Dar es Salaam limekuwa na asili ya kuwa na joto sana hivyo ni rahisi kwako wewe kuifanya biashara ya vinywaji baridi kama soda, maji na juisi hasa maeneo yenye pilika piliaka za watu na uhitaji wa vitu hivyo mara zote.

biashara kwa dar es salaam

Mfano unaweza kuuza katika eneo la soko, maeneo ya vituo vya basi pamoja na wakati wa foleni barabarani. Mara nyingi kumekuwa na uhitaji wa watu wa kupata habari, sio wote wenye simu wanajua njia za kupata habari na sio wote wanakuwa na uwezo wa kununua bando ilikuweza kuperuzi mitandao kujua kinachoendelea, hivyo bado kuna uhitaji wa magazeti ukizingatia wengi wanakuwa busy na shughuli zao.

Kupita kusoma gazeti ndiyo huwa muda pekee wao kujua mambo yananayoendelea na husoma magazeti hasa kwenye foleni za magari asubuhi wanapokwenda na jioni wanaporudi kwenye shughuli zao. Kiafya ni moja ya hitaji kubwa sana katika mwili wa binadamu, hivyo biashara hiyo ni nzuri kuifanya ukiwa hapa na biashara hii ubadilika badilika kulingana na msimu wa tunda husika. Mtaji wa biashara hii ni mdogo na sehemu nzuri za kupatia wateja ni kwenye vituo vya mabasi, pembezoni mwa barabara, karibu na migahawa au karibu na ofisi.

Japo imelalamikiwa kutokuwa na faida ila mkaa bure sio sawa na mtembea bure, Wakazi wengi wa jiji hili hutumia vocha kurahisha shughuli zao kwa kuwasilana na ndugu, jamaa ana rafiki.

Hii hupelekea wanaouza vocha za muda wa maongezi kuwa na uhakika na biashara zao. Hapa ndiyo patamu sasa, kila mtu napenda kula, Biashara ya kuuza chakula ni nzuri kwani binadamu yoyote anahitjika kupata chakula. Lakini sio chakula tu hata vyakula vya baharini, kama pweza ni moja ya vitu vinavyoweza kukufanya ukaendela kuwepo hapa mjini.

Pia biashara ya chakula aina ya chips ni nzuri pia kwani inawateja wengi. Unatakiwa ujue kuwa kila biashra inachangamoto zake hivyo cha msingi ni kukabiriana nazo iliuweze kufika malengo yako. Related Articles. Yafahamu maeneo 20 ya kuvutia duniani, Unayoshauriwa kuyatembelea pale unapopata nafasi 6 days ago. Zifahamu njia saba zitakazokulinda kutosambaza taarifa za uongo kuhusu Corona 3 weeks ago. Diamond Platnumz awagaragaza Wizkid, Davido na Burna boy, Aweka rekodi hii nyingine kubwa kwa upande wa wasanii 3 weeks ago.

Check Also. Lionel Messi amevunja rekodi ya wachezaji hawa, na kuwa mchezaji wa kwanza katika ligi 5 bora barani ulaya, kufikisha magoli katika ligi moja January 14, - am. Close Search for. Bongo5 FREE.Kurejea kwa usafiri wa treni kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro kumeleta ukombozi mpya wa kiuchumi kwa wananchi wa maeneo hayo.

BIASHARA YA MGAHAWA WA CHAKULA, MCHANGANUO NA MTAJI MDOGO WA KUANZA

Wananchi sasa wanaweza kutumia fursa ya usafiri huo kufanya biashara mbalimbali, hivyo kujikwamua kiuchumi na kuondokana na hali ya umaskini. Usafiri huo umerejea baada ya kupita miaka 25 na wananchi wameupokea vema hasa wa maeneo ambayo inapita wakieleza jinsi watakavyoongeza kipato kwa kuuza bidhaa na mazao mbalimbali zaidi ya ilivyo sasa.

Wananchi wengi wanasema wamejipanga zaidi kuanza biashara na kukabiliana na hali ngumu ya maisha. Wami, Korogwe, Same na Kahe ni maeneo yaliyochangamka na wananchi walieleza matarajio yao sambamba na watakavyoweza kupanua wigo wa biashara na kilimo kwa kuongezeka kwa mteja mwingine ambaye ni abiria wa treni hiyo.

Kwa sasa wengi wa wateja wao ni abiria wa mabasi, madereva wa malori ambayo wakati wa mvua hukwama katika baadhi ya maeneo na kuharibu biashara zao. Ila kimsingi tunarejea na binafsi nafikiria kuanza biashara hapa ambayo itatoka usiku. Sikuwa mkazi wa Same, ila kwa sasa nipo hapa nalima na kujishughulisha na biashara. Joanitha Jacob, anasema naye ni mfanyabiashara aliyekuwa akisafiri kwa basi ila baada ya kuona treni imeanza safari aliamua kuacha ili apate na muda wa kulala.

Nauli yake kutoka Dar es Salaam hadi Korogwe mkoani Tanga kwa daraja la tatu itakuwa Sh10, daraja la pili kukaa Sh 15, na daraja la pili kulala ni Sh25, Pia kutoka Dar es Salaam hadi Moshi, nauli kwa daraja la tatu ni Sh16, daraja la pili kukaa Sh23, na daraja la pili kulala Sh39, Huenda kutokuwepo kwa treni hiyo tangu mwaka ndio sababu ya maeneo mengi inakopita kutokuwa na biashara kubwa zinazofanywa na wananchi.

Ofisa Habari ya Shirika la Reli Tanzania TRCJamila Mbarouk anasema kupitia treni hiyo wananchi wataweza kuanzisha biashara ndogondogo katika vituo ambavyo inapita na kujikwamua kiuchumi. Jamila anasema TRC imeandaa sehemu maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara na kwa yeyote atakayehitaji kufanya biashara pembezoni au karibu na reli, anapaswa kufika kwa stesheni master kwa ajili ya utaratibu.

Anasema kabla ya treni kuanza wananchi walikimbilia miji mikuu kufanya biashara kwa kuwa fursa hazikuwepo katika maeneo yao. Anasema pia wakulima watapata fursa ya kusafirisha mazao yao kutoka eneo moja kwenda jingine na kufanya biashara.

Ofisa habari huyo anasema usafiri wa treni pia utarahisisha gharama za usafiri kwa wananchi na kuongeza thamani ya maeneo inakopita na kutoa uelewa kwa wananchi. Anasema zipo stesheni 12 ambazo wamezipanga kwa ajili ya treni hiyo kusimama, hivyo kutakuwa na fursa nzuri na kubwa za biashara na kuchangia ukuaji wa uchumi kwa eneo husika.

Best turn based strategy games android reddit

Haitasimama kila stesheni kwa sababu ya muda, tumepanga isimame katika stesheni 12, na maeneo hayo kutakuwa na fursa. Jamila anasema imetokana na maoni ya wananchi baada ya kufanya utafiti, ambapo wengi walipendekeza safari zianze jioni kwa kuwa safari za mabasi huanza asubuhi na inapofika mchana, hakuna gari ya kutoka Kilimanjaro kwenda Dar es salaam, jambo ambalo limekuwa likisababisha usumbufu kwa wananchi wengi.

Alipoulizwa kuhusu maoni ya wafanyabiashara katika maeneo ambako treni inasimama kuwa inapita usiku, hivyo kushindwa kufanya biashara, Jamila amesema wanaendelea kupokea maoni ili kuhakikisha wanaboresha utoaji wa huduma ili kila mwananchi anufaike. Shanel Ngowi, mfanyabiashara mkoani Kilimanjaro anasema gharama za usafiri kwa treni ni nafuu ikilinganishwa na mabasi, hivyo itavutia watu wengi.

Anasema treni hiyo pia itapunguza gharama za usafiri kwa wanafunzi na katika vituo ambavyo itasimama, kunaweza kuibuka fursa za kibiashara kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Ibrahim Shayo, ambaye ni mfanyabiashara mjini Moshi, anasema moja ya fursa za biashara zinazopatikana kupitia treni hiyo ni unafuu wa usafiri na kutoa fursa kwa wafanyabiashara kusafiri usiku na mchana kufanya biashara zao.

Mwanzo Habari. Pia Soma. Sh7 bilioni kutumika ujenzi kituo cha magonjwa ya mlipuko Tanzania Adaiwa kumjeruhi mpenzi wake baada ya kumnyima fedha Waziri asimamishwa kazi kwa kukiuka amri ya kutotoka nje Walioambukizwa corona Tanzania wafikia Waziri asimamishwa kazi kwa kukiuka amri ya kutotoka nje Ni waziri wa Habari wa Afrika Kusini ambaye alienda kupata chakula cha mchana na rafiki yake.Biashara tano za kujifunza na kujaribu Mwaka ndani ya Jiji la Dar es salaam.

Admin February 08, U mewahi kumsikia mtu akisema anayo pesa lakini haoni biashara ya kufanya, kuchagua na kuamua biashara ni moja kati ya maamuzi magumu kwenye kuanza safari ya Ujasiriamali. Kufanya swali hili kuwa jepesi kwako, hizi ni fursa tano unazoweza kuweka juhudi na pesa zako kwa mwaka ndani ya Dar es salaam, na popote palipo na mazingira rafiki.

High back sofa set

Sekta ya vyakula vya asili vyenye kulinda afya Vyakula tiba. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO ongezeko la vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza limekua ni kubwa ambapo kwa Tanzania kati ya Asilimia 18 hadi 24 ya vifo vinatokana na magonjwa hayo, Saratani, Kisukari na Matatizo ya moyo.

Tofauti na miaka 10 iliyopita, hivi sasa kumekua na kundi kubwa linalopigania kuboresha afya zao katika vituo mbali mbali vya mazoezi. Watu wengi wanajaribu kubadilisha mitindo yao ya maisha ikiwa pamoja na ulaji wa vyakula vya asili na vyakula tiba. Migahawa inayotoa vyakula visivyokua na mafuta, nafaka zisizo kobolewa, mboga mboga na matunda ni fursa kubwa kwa atakayeweza kuangaza kama tunavyo angaza.

Huduma ya usambazaji wa mizigo na vifurushi ndani ya mji. Kwa mujibu wa sensa ya mwakaDar es salaam inawakazi zaidi ya Milioni 4. Licha ya uwepo wa mabasi yaendayo kasi lakini bado usafiri wa kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine imekua changamoto. Inazaliwa fursa kwa wajasiriamali kuzisaidia taasisi na biashara zinazouza bidhaa mbali mbali na kusambaza vifurushi kwa niaba, zipo tayari baadhi ya kampuni zinazotoa huduma ya usambazaji wa vifurushi, lakini bado mahitaji ni makubwa.

Bado zinatakiwa kampuni za kuja kuamsha sekta hii ya usambazaji vifurushi kwa kutoa huduma ya haraka zaidi lakini pia itayokua nafuu ili kuwapa faida wafanyabiashara na wanunuzi wa bidhaa mbali mbali. Katika hili kila mmoja anakua shuhuda kwa namna ambavyo matumizi ya gesi yamekua hayakwepeki kwa sasa.

Kwenye kipindi kifupi zimezaliwa kampuni nyingi za kuuza gesi hapa nchini, kampuni hizo mpya na kongwe zote zinahitaji mawakala ili kuwafikia wateja wao kwa urahisi zaidi.

Duka la gesi ni fursa unayoweza kuanza nayo kwa mtaji mdogo hata wa mtungi mmoja. Unachotakiwa ni kujua katika mazingira yako kampuni gani rahisi kuingia nayo makubaliano lakini hakikisha pia inawateja wa kutosha, kampuni inayofanya juhudi kujitangaza zaidi na sio zile zilizolala. Kununua Mahindi na kuyageuza kuwa Unga na pumba. Kwa bahati mbaya sana kumekua na tabia ya kuiga biashara bila ya kujiridhisha na maamuzi, watu wengi wamekua wakiamini kuwa biashara ya mchele inalipa zaidi kuliko unga kupelekea hata wengine kuingia kwenye hasara wasizotarajia.

Biashara ya Rasta Tanzania

Ugali unabaki kuwa chakula mama kwa watanzania, ugali unaliwa na familia ya kipato chohote kile. Lakini kubwa nalokwambia ni kuwa, hatari ya kuchagua mahindi bora ni ndogo kuliko hatari ya kuchagua mpunga au mchele bora. Kingine zaidi ni kuwa, ili upate faida kwenye biashara ya mchele unahitaji mtaji mkubwa wa kuanzia wakati kwenye biashara ya unga na mahindi ni tofauti kabisa. Kuongezeka kwa wafugaji kunazidi kutoa fursa kwenye biashara ya mahindi na unga, wakati ukiziacha pumba za mpunga shamba, pumba za mahindi bado zinakua ni faida.

Kama biashara zingine, kabla hujaanza tizama kwanza hali ya soko unalotaka kuhudumia na ufahamu utapata wapi mahindi kwa bei nzuri na usafiri mwepesi. Nilitaka hii iwe ni Fursa namba moja lakini imekua ya tano kwenye huu mpangilio. Kama nilivyosema hapo mwanzo, watu wanapambana kujenga na kuboresha afya zao.

Maziwa ni kitu chenye fursa kubwa ndani ya Jiji la Dar es salaam kwakua bado maziwa fresh hayajaingiliwa kama ilivyo kwa maziwa mtindi ambayo viwanda vingi ndio wanayazalisha. Kama utapata Jokofu na Vyombo vizuri vya kusafirishia. Chukua oda katika Appartment za Mjini na maeneo yanayofikika.

biashara kwa dar es salaam

Tafuta chanzo chako bora cha kupata maziwa mazuri na masafi, amini kwamba utakuja kushangaa kwanini ulichelewa kuanza. Hitimisho, Akili za kuambiwa changanya na zako, pitia fursa moja moja na utizame inayoendana na malengo yako. Unaweza kuanza mtaji ambao wewe unaona unaweza kuupata, kila fursa katika hizi unaweza kuanza kidogo na sio lazima upate mtaji mkubwa. Facebook Twitter. Tufuate kwenye kurasa zetu za kijamii.

biashara kwa dar es salaam

Contact Form. Usipoteze muda kumjibu hasidi kwenye biashara yako.Kaka nimependa kweli umelenga watu wenye kipato kidogo sana na hata umeonyesha njia kabisa za kufanya. Tech blogger ecltech. Asante sana Elisante kwa ushauri na pongezi,kuhusu template nitawatafuteni. Hakuna kitu kinachomkwamisha mjasiriamali mdogo kama mtaji, jijini Dar es salaam kuna watu wengi wanaoishi kwa kufanya biashara ndogondogo ambazo kwa haraka haraka mtu unaweza ukajiuliza watu hao ni kwa namna gani huweza kupata faida wakaendesha maisha yao na hata wengine kuishia kukuza mitaji yao na kufikia hatua ya kuanzisha biashara kubwa kubwa au za kati.

Tide apk

Kitu kingine cha kushangaza zaidi ni kuwa nyingi ya biashara hizo wala hazihitaji gharama kubwa kama za kulipia pango la fremu ya biashara au kukata leseni na kulipia kodi ya mapato. Biashara za namna hii wengi huziita sekta isiyokuwa rasmi, umachinga au biashara ambazo bado hazijarasimishwa. Kuna faida na hasara za kufanya biashara za namna hii lakini kwa mfanyabiashara mwenye mtaji kidogo yeye hawezi kuangalia hasara zake, huangalia faida zake tu kutokana na sababu kwamba hata ikiwa angetaka kufanya biashara iliyokuwa rasmi kikwazo cha mtaji wa kutosha kuanzisha ni lazima kingemzuia.

SOMA: Biashara yenye faida kubwa na ya haraka inayolipa mara mbili ya mtaji unaoanza nao. Mtaji kwa ajili ya kuanzisha biashara nyingi ndogo siyo mkubwa sana, zipo zinazoweza kuanza mpaka na shilingi elfu tatu, elfu 5 na kuendelea, itategemea ni biashara ya aina gani mtu anataka kuanzisha. Moja ya faida kubwa ya biashara za mtaji kidogo ni huo urahisi wa kupata mtaji. Mjasiriamali hana kazi kubwa ya kuanza kuzunguka mabenki au kwa wakopeshaji wengine wakiwemo vyama vya kuweka na kukopa, saccos au ndugu jamaa na marafiki ili kujipatia mtaji wa kuanzisha biashara.

SOMA: Kuendesha biashara na mtaji kidogo ni sawa na kulima kwa jembe lisilokuwa na mpini. Kama unapita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam muda wa jioni utakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara hizi zisizokuwa rasmi kandokando ya barabara, stendi za mabasi, na barazani mwaa nyumba wanamoishi watu.

biashara kwa dar es salaam

Kimsingi haya ni maeneo ambayo mara nyingi huwa hawayalipii chochote na hata kama hulazimika kulipia basi ni ushuru kidogo sana ambao hauwezi ukaathiri kwa kiasi kikubwa faida wanayoipata. Ubaya au hasara ya miradi ya aina hii ni kutokuwa na uhakika, kwani maeneo yanayotumiwa mara nyingi kama ni biashara inayotakiwa kupangwa mahali kama barabarani na stendi za mabasi, maeneo hayo utakuta serikali haitaki watu kuyatumia kwa biashara.

Serikali hudai wanaharibu mpangilio wa mji na kweli ikiwa ingeruhusu kiholela watu kutumia eneo lolote hata pale nje ya ikulu ungekuta watu wanapanga biashara. Biashara ndogo ndogo unazoweza kufanya Dar kwa mtaji mdogo sana pasipo hata kulipa pango la fremu ya biashara.

Orodha ya baadhi tu ya biashara hizo ni hii ifuatayo, ila na wewe ndugu msomaji unaweza ukaongeza na za kwako kwani zipo nyingi.

Lakini kwa mjasiriamali anayetafuta kujikwamua kwa lengo la kupata mtaji wa kuanzia hana budi wakati mwingine kujikuta anakiuka sheria, hata hivyo serikali sasa inaonyesha ina nia ya thati kuhakikisha maeneo mengi yakutosha yanaandaliwa kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wasiokuwa na mitaji ya kutosha au hata wenye mitaji midogo sana kama ya kuanzia shilingi elfu 10 nao kupata mahali pazuri pakufanyia biashara zao.

Unapojiunga na darasa hili unajifunza kila kitu kuhusiana na mipango ya biashara kuanzia namna ya kuandaa mpaka michanganuo yenyewe halisi. Elisante Shibanda November 25, at PM. Peter Augustine July 17, at PM. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Biashara ya nguo za mitumba na kutembeza vitu huhitaji mtaji kidogo kuanzisha. Wafanyabiashara ndogondogo jijini wakiuza bidhaa zao mitaani.WAKATI Balozi wa China nchini, Wang Ke akisema baadhi ya viwanda nchini humo vimeanza kufanya kazi, Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imesema hali bado ni mbaya, na si rahisi kuagiza mizigo kutoka nchini humo kwa kuwa hata mawakala waliokuwa wakiwatumia waliondoka.

Tangu kuanza kwa virusi vya corona nchini China Desemba mwaka jana, watu walioambukizwa wamefikia 90, katika nchi 72 huku vifo vikiwa ni zaidi ya 3, hali iliyozua hofu miongoni mwa wafanyabiashara.

Ili kukabiliana na virusi hivyo, nchi mbalimbali zimekuwa zikichukua hatua za kupunguza maambukizi hayo, ikiwamo Italia ambayo imetangaza kufunga shule na vyuo.

Sacred broom

Akizungumza jana na waandishi wa habari Dar es Salaam, balozi huyo aliwatoa hofu wafanyabiashara nchini, akisema shughuli za uzalishaji katika taifa hilo lililokumbwa na virusi vya corona mwanzoni mwa mwaka huu zimeanza kurejea. Balozi Ke alisema soko la Karikoo ni moja ya sehemu ambazo zimekuwa zikitegemewa kwa kiasi kikubwa na wafanyabiashara wa mataifa mbalimbali, hasa ukanda wa Afrika Mashariki.

Alisema pamoja na kuwapo kwa changamoto hiyo ambayo imesababisha shughuli nyingi za kiuchumi kusimama nchini humo, lakini taratibu uzalishaji utarejea kwenye hali yake ya kawaida. Alisema kuwa pamoja na virusi hivyo kutikisa uchumi wa China, lakini wanaamini kuwa haitachukua muda mrefu kurudi kwenye hali yake ya kawaida huku akitolea mfano virusi vya sars. Akizungumzia kauli hiyo ya Balozi Ke, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabishara Kariakoo, Abdallah Mwinyi, alisema kauli ya kuwatoa hofu haisaidii kwa sababu kwa sasa hali ya biashara ni mbaya.

Kutokana na hilo, alisema Serikali inapaswa kutoa kauli kwa taasisi za fedha, hasa benki ili wafanyabiashara hao wapewe kipindi cha mpito kulipa marejesho. Akizungumzia kuhusu wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika mji wa Huwan, Balozi Ke alisema kuwa wako salama na kwamba wamekuwa kwenye uangalizi wa hali ya juu.

Aidha, alimshukuru Rais Dk. John Magufuli ambaye amekuwa na taifa lao bega kwa bega hata ilipopata changamoto hiyo. Kwa upande wake, Dk. Ligi Vumilia, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma China, alisema kuwa wao wamekuwa wakiwasiliana na wanafunzi wanaosoma huko ambao wanasema kuwa wako salama na kwamba hali inaendelea kuimarika kila kukicha.

Charles Kitima alisema furaha yao ni kuona wanaokoa maisha ya watu kwa kuwa lengo la ibada ni kuokoa nafsi na maisha ya watu, hivyo hawawezi kufanya ibada ambayo inahatarisha uhai wa watu. Alisema wanaliona tishio hili la virusi vya corona kwa sababu hata kwa China kuna Wakristo wenzao ambao wameathirika na huko Italia pia, hasa katika Jimbo Kuu la Milan kuna Jumapili kama mbili sasa wamesitisha hata ibada za mikusanyiko na wanaendesha ibada kwa mtindo wa tofauti kabisa.

Alisema TEC kama baraza linalosimamia taasisi ya kidini, wanatambua kuwa wanatakiwa wafuate sheria za nchi, kwa hiyo watafuata maelekezo yote watakayopewa na Wizara ya Afya na vigezo vingine vilivyowekwa na kutoa tahadhari ambazo wataambiwa, hasa katika yale yanayoainishwa kuwa yanaweza kuwaletea watu matatizo.

Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Kelly aomba kutoka jela, kisa Corona. Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu.

Chynna Rogers afariki dunia. Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka. Ukitaka kupata mwenza sahihi anza kubadili mwenendo wako. Hifadhi Afrika zafungwa kuepuka nyani kuambukizwa corona.Login Register Forgot Password.

Mwanzo Biashara Biashara zote Bidhaa zote. Ajira Zote CV's Zote. Tangaza biashara yako kwa maelfu ya watu waliopo Dar es Salaam. Aishkrimu - Wholesalers Biashara ya ice cream juice milkshakes na refreshments nyingine, Est:Workforce: 1 - 10Ubungo, Sinza. Epuka magonjwa yasiyoambukizana kwa kupata lishe bora. Simu - Professional Services Ni wauzaji wa simu za infinix kwa bei Rahisi.

Fa Stara Collection - Clothing Retailers we are selling stara wear including hijabs, shoes,scarfs and handbags, Est:Workforce: 1 - 10Ubungo, Manzese. Maya - Florists Nafanya biashara mbalimbali, nyumba za kupanga, wallpaper, taa nk. Mama Lincy Cakes - Confectionery Tunapika cake za sherehe mbali mbali kama birthday,kipaimra,ubatizo,kitchen party,harusi,babh and bridal shower etc karibu sana,cake zetu tamu na hutojutia.

Bebwaelectronicsltd - Electronic Equipment Retailers Tunauza flat screen TV za kisasa, subwoofer, friji, pasi za umeme, meza za vioo, simu za samsung,iphone, feni, blender, kabati. Tunapatikana dar es salaam kkoo mtaa wa msimbazi Dar es salaam delivery bure Mkoani pia tunatuma PigaEst:Workforce: 1 - 10Kinondoni, Kinondoni. Ramaphosa Dalali Bamba Beach - Building Construction Tunajishughulisha na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa, nyumba,mashamba,na upangishaji wa nyumba, Maeneo ya biashara na Beach plot tunapatikana kigamboni geza mwongozo tupigie tukuhudumie karibuni tuijenge kigamboni, Est:Workforce: 1 - 10Kigamboni, Somangila.

Mjfumigation Service. Niulize kuhusu uvimbe, UTI sugu, fungus, matatizo ya nguvu za kiume, tezi dume n. Fundi Umeme - Appliances and Repair Kwa mahitaji yote yanayohusu umeme was majumbaji na viwandano karibu sana Bei zetu ni nafuu Ukilinganisha na Ubora wetu karibu tukuhudumie Ubora Ni kawaida yetu, Est:Workforce: 1 - 10Ilala, Kitunda.

Msd Sleepers - Wholesalers Habari mimi ni mfanya biashara wa viatu slerpers dizain tofaut ni vizuri karibu ujionee, Est:Workforce: 1 - 10Ilala, Ilala. Neideas - Clothing Manufacturers Neideas is a women clothing brand wholly citizen owned focusing on designing and selling African print clothes.

Neideas works based on creativity in designing outfits that suit women appearance and enhance confidence. Kazi tunazofanya ni pamoja na -wiring system -power backup -installation of solar power and generator - installation of CCTV Camera Networking -installation of automotive gate motor -Eletric fenceEst:Workforce: 1 - 10Ubungo, Sinza. Customised Photo Wristwatch - Jewellery and Watch Retailers tunatengeneza na kuuza saa ambazo zinakua na picha ambayo mteja atapenda kuweka, au maneno yoyote ambayo mteja atapenda yaonekane kweny saa yake Kanjeclass Wear - Clothing Retailers karibu sana tukuhudumie pambakali kwabei nafuu Sasa ulipo mzigo unakufkia whatsppEst:Workforce: 1 - 10Ubungo, Mbezi.

Tunatoa huduma ya nywele na pia huduma ya kucha. Karibuni sana tunapatikana sinza makaburini. We are vehicle dealers fully registered to operate in Tanzania with expertise in cars, trucks, farm equipment and heavy commercials.

With readily available representative, Est:Workforce: 1 - 10Ilala, Kivukoni. Original Perfumes Market - Cosmetics and Beauty Retailers Karibu ujipatie All brands of original perfumes with affordable price Bei zetu ni nafuu inapata kilicho bora Mikoani kote tunatuma Chuja biashara.

Chagua Kata. Biashara kwa maeneo. Makundi ya biashara.


thoughts on “Biashara kwa dar es salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *